Google I/O

Sundar Pichai kwenye Google I/O, 2017

Google I/O au I/O kwa kifupi, ni mkutano wa kila mwaka wa wasanidi programu unaoandaliwa na Google, mjini Mountain View, California. Neno "I/O", limetolewa kwenye namba googol, huku "I" ikiwakilisha "1" kwenye googol, na "O" ikiwakilisha "0" kwenye namba.[1]

  1. "Google I/O", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-05, iliwekwa mnamo 2024-01-12

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne